Big ups mkuno mwema!!Mkuu, mie umenikuna kwenye Kilatini tu. Najifunza atiiii.
Watakutukana!CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha serikali.
Lengo la habeas corpus ni kupinga kukamata, kushikiria, kufunga watu kinyume cha sheria. Tuna wanasheria wasio na weledi na wapiga kelele tu
Mkuu soma uongeze maarifa hapo ulipofikia badoAcha kuandika mambo usiyoyajua! Habeas corpus ina apply kwa mtu aliyewekwa kizuizini ,kuzuiwa au kushikiliwa mahali bila sababu za wazi.
Sasa unaenda Mahakamani kwa ajili ya nani anayeshikiliwa?!
Uelewa wako juu ya application of Habeas Corpus umeishia hapo? Real?Intro. Habeas Corpus is an Act of Parliament, still in force today, which ensures that no one can be imprisoned unlawfully. Literally translated, 'habeas corpus' means 'you may have the body' (if legal procedures are satisfied).
Habeas Corpus is a Latin word meaning which literally means 'to have the body of'. It is an order issued by the court to a person who has detained another person, to produce the body of the latter before it. The court then examines the cause and legality of detention.
Tafsiri ya mwanzilishi wa post haiko sahihi