Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Umekosea kidooogo hapo kuwa wenye uwezo mdogo wamepewa nafasi kuitumikia nchi, usahihi ni kuwa wenye uwezo mdogo wamepewa nafasi ya kuihujumu nchi.Kuna nchi duniani kuzaliwa, ni kama vile wazazi wako walifanya makosa kukuletea duniani na mfano mzuri ni Banana Republic moja inayopatikana East Africa ambapo wenye akili wako jela huku wenye uwezo mdogo wakipewe nafasi za kutumikia nchi.
ana uwezo mkubwa,Kuna nchi duniani kuzaliwa, ni kama vile wazazi wako walifanya makosa kukuletea duniani na mfano mzuri ni Banana Republic moja inayopatikana East Africa ambapo wenye akili wako jela huku wenye uwezo mdogo wakipewe nafasi za kutumikia nchi.
Na kama anataka kuwa nje ya jela akubali kuondoa ubongo wote aweke wa kondoo au shame nchiana uwezo mkubwa,
halafu yuko jela anasota korokoroni?
hii ni maajabu,dah!🐒
huo ni mtazamo wako huru gentleman,Na kama anataka kuwa nje ya jela akubali kuondoa ubongo wote aweke wa kondoo au shame nchi
Wewe upo kwenye fikra za wengine kuamini kuwa ni mtazamo wangu tu na siyo nimewakilisha wengine? Fikri na tumia ubongo wako zaidi ya hapohuo ni mtazamo wako huru gentleman,
well done kwa kutumia haki na uhuru wa kutoa maoni ipasavyo
Ni tatizo kubwa hasa nchi za Africa. Narudi kauli ya professor Lumumba wa Kenya " In Africa we elect fools to the office "Kuna nchi duniani kuzaliwa, ni kama vile wazazi wako walifanya makosa kukuletea duniani na mfano mzuri ni Banana Republic moja inayopatikana East Africa ambapo wenye akili wako jela huku wenye uwezo mdogo wakipewe nafasi za kutumikia nchi.