johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumbili hawezi kupata tena ubunge labda Aron Kagurumujuli, awe msimamizi... nikupoe gari halafu umtangaze mpinzania mshindi!........Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Hapa Ujiji wanamtambua hivyo!Hilo hata mimi nalipa 85% kwa mazingira ninayoyaona. Ila tuweke kumbukumbu sawa Davidi Kafulila sio mwanasheria .
Waislamu hao wa ujiji hawawezi kumpa mkristo huyo kura kigoma mjini
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
tumbili atafute jimbo jingine.Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Unachunga punda wangapi?Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Unachunga punda wangapi?
Kigoma mjini Zito hatoki leo wala 2020, si vibaya Kafulila akamsindikiza.
Kwa wizi wenu inawezekana.Atatoka apende asipende!
Nilikuwa Kigoma siku nne zilizopita nikifanya Political Analysis. Kafulila HATASHINDA hata afanye uchawi wake kiasi gani.Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
David kafulila ndiyo Nguli? Nakuhakishia hapati, atoke huko tumbili mkubwaNipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Peter Selukamba alikuwa mwislamu?Waislamu hao wa ujiji hawawezi kumpa mkristo huyo kura kigoma mjini