Tetesi: Mwanasheria nguli David Kafulila kugombea ubunge Kigoma mjini 2020

Kama alimshindwa mwanamama Husna Mwilima duh Zitto ni kisiki cha mpingo.
 
Hawezi shinda na hata akishindishwa kwa nguvu hats dumu ktk ubunge wake.
 
Saaaafi sana hiyo, ma-snitch wote 2020 OUT by any means necessary!
Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. Out!
And you think that is gonna do any good to this country? Pathetic.. Mna nini enyi watu..what is wrong with you people?
 
Hahaha...tumbili bana dah, kila tawi anarukia!
 
Mfa maji haishi kutapatapa...
 
Hivi Kafulila ni Mwanasheria?
 

Hivi mwnyekiti wao alipopiga stop viongozi wa kuteuliwa kugombea ubunge hukusikia?!
Walishauriwa waridhike na vyeo walivyo navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…