saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
Anataka kuunga juhudi za mwenyekiti. Nikuteuwe,nikulipe mshahara kila mwezi na makandokando halafu huegemee nje ya CCM?Kauli ndio sheria kwa sasa
Kwani Jecha aliondoka na ule ufutio?Uchungu wake ni kumuona mwenye ndevu ametangaza kugombea tena urais, hili linamnyima usingizi sana nadhan mkataba wake walifikia makubaliano afanye vyovyote iwavyo jamaa asigombee baada ya kumnyanganya chama hakutegemea kilichotokea kwamba siasa ina upande wa pili wa shilingi.
Uchungu wake ni kumuona mwenye ndevu ametangaza kugombea tena urais, hili linamnyima usingizi sana nadhan mkataba wake walifikia makubaliano afanye vyovyote iwavyo jamaa asigombee baada ya kumnyanganya chama hakutegemea kilichotokea kwamba siasa ina upande wa pili wa shilingi.
Anaweza kufuta makusudi kisha waende mahakamani. Wasumbuliwe weeeeeeee na mapingamizi weeeeeee mpaka mwakani then haki inapatikana ACT Wanashangilia
Bunge lijalo chini ya Spika Makonda wataanza na hiko kipengere kukifuta.saidi kindole,
Hivi ni kweli hicho Kifungu cha Sheria walisahau kukifuta au kukirekebisha kwa kipindi cha hii miaka mitano? Hata siamini! Du!