Asanteni wakuu nilifkiri ili kwa elimu ya jumla ninyi wenye fani mtufumbue macho kidogo mambo yanavyokua ili hata kesho mwingine akiwaza jambo kama hilo ajue pa kuanzia najua mwishoni nitakwenda specific na mmoja na hapo itakuwa miafaka kumPM huyo, nikichokoza labda mtujuze mimi ninamhitaji ili ikitokea jambo lolote lenye interest za family yangu aweze kulikabili kwa niaba siyo wa seme subiri baba au ukuta mama na watoto wannynyaswa ukiwa uko mbali. aina ya mikataba, range za malipo. processes involved- all that-mageni jamani deal huenda ni nyingi mkijinadi vizuri