Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma."
Your browser is not able to display this video.
Kwa mujibu wa Patrick, Singida ilitoa masharti ya kulipa shilingi milioni 30, na Yanga ilikubaliana kufanya malipo hayo kwa awamu mbili. Malipo ya kwanza yalifanyika tarehe 30 Aprili, na baada ya hapo, klabu ya Yanga ilipewa ruhusa ya kuzungumza na mchezaji kuhusu maslahi yake binafsi.

Mwanasheria wa klabu ya Yanga Patrick Saimon ametoa ufafanuzi ishu ya Yusuph Kagoma na kusema mpaka sasa wamewalipa Singida Fountain Gate Fc shilingi milioni 60 zikiwa na mchanganuo kwa wachezaji wawili ambao ni Yusuph Kagoma milioni 30 pamoja na Fedha za Nickson Kimbabage milioni 30 ambazo zilikuwa ni deni"
"Mchezaji Yusuph Kagoma haruhusiwi kucheza timu yoyote kutokana na mkabata wake unasoma timu mbili, Hivyo mpaka sasa shauri letu lipo chini ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji mpaka sasa hatujasikilizwa"
"Mpaka sasa tunaongea Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa Yanga Sc tulimsaini miaka mitatu na tukamtumia hadi tiketi ya ndege kutoka Kigoma nakuja Dar es salaam kuungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya msimu huu 2024 - 2025" - Patrick Saimon, Mwanasheria wa Yanga
Soma Pia: Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama
Hii sasa imeekaaje kama ushahidi wa mkataba upo simuoni Kagoma na Simba wakitoboa kwenye hili.
Mbona msemaji amesema mnacohitaji ni kuombwa msamaha tu na sio mchezaji, maana hawzi kupata namba hata ya kikosi cha tatu cha Yanga? Ilikuwaje mchezaji asiyewza kupata namba hadi timu C akapewa mkataba wa miaka mitatu yote hiyo?
Mbona msemaji amesema mnacohitaji ni kuombwa msamaha tu na sio mchezaji, maana hawzi kupata namba hata ya kikosi cha tatu cha Yanga? Ilikuwaje mchezaji asiyewza kupata namba hadi timu C akapewa mkataba wa miaka mitatu yote hiyo?
Mwanasheria wa klabu ya Yanga Patrick Saimon ametoa ufafanuzi ishu ya Yusuph Kagoma na kusema mpaka sasa wamewalipa Singida Fountain Gate Fc shilingi milioni 60 zikiwa na mchanganuo kwa wachezaji wawili ambao ni Yusuph Kagoma milioni 30 pamoja na Fedha za Nickson Kimbabage milioni 30 ambazo zilikuwa ni deni"
"Mchezaji Yusuph Kagoma haruhusiwi kucheza timu yoyote kutokana na mkabata wake unasoma timu mbili, Hivyo mpaka sasa shauri letu lipo chini ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji mpaka sasa hatujasikilizwa"
"Mpaka sasa tunaongea Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa Yanga Sc tulimsaini miaka mitatu na tukamtumia hadi tiketi ya ndege kutoka Kigoma nakuja Dar es salaam kuungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya msimu huu 2024 - 2025" - Patrick Saimon, Mwanasheria wa Yanga
Mkataba wa awali huo ndugu......Kagoma alikubali kweli alisaini.......ila hawakumpatia pesa yake waliokubaliana. Na ukiangalia, Yanga iliwalipa pesa Singida na sio Kagoma. Kwanini Singida wasiwajibike kwa hili?
Kwa mujibu wa Patrick, Singida ilitoa masharti ya kulipa shilingi milioni 30, na Yanga ilikubaliana kufanya malipo hayo kwa awamu mbili. Malipo ya kwanza yalifanyika tarehe 30 Aprili, na baada ya hapo, klabu ya Yanga ilipewa ruhusa ya kuzungumza na mchezaji kuhusu maslahi yake binafsi.
Mchezaji ana leseni ya kuchezea Simba. Period. Na hao Singida walisema wameuza mchezaji Simba.
Za chini ya kapeti ni Yanga walichelewa kupeleka 30m ndani ya muda qaliokubaliana na Singida. Singida akafungua mazungumzo na Simba, wakakamilisha kila kitu
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Haki za Wachezaji na wanasubiri Kikao ili kuendelea kumtetea Mchezaji. Amesema "Mchezaji...
Mkataba wa awali huo ndugu......Kagoma alikubali kweli alisaini.......ila hawakumpatia pesa yake waliokubaliana. Na ukiangalia, Yanga iliwalipa pesa Singida na sio Kagoma. Kwanini Singida wasiwajibike kwa hili?
Kama Kagoma hakupewa chochote wakati alitumiwa ticket ya ndege ya go and return Kwenda Dar kusain mkataba ilo ni jambo jingine Tena la kushangaza kwa wenye akili timamu ila ukiwa mbumbumbu utaona ni kawaida.
Kwaiyo kama ni kweli hakulipwa chochote na Yanga, hoja iyo aitumie wakati wa usikilizwaji wa shauri lake pale Tff ili asikumbane na adhabu ya kufungiwa.
Kwanza unatakiwa uelewe pingamizi la Yanga liliwasilishwa lini pale Tff.
Kama Tff wangekuwa wanafuata utaratibu wa mpira wa miguu, hivi tunavyo andika Kagoma angeshakua amepewa adhabu muda mrefu ila kinacho fanyika ni yaleyale ya Lawi, Awesu Awesu, Valentino.
Kuna klabu ingekua imesha fungiwa kufanya usajili na faini juu.

Mdau...na wewe unaamini Kagoma alitumiwa tiketi ya ndege?.....Kitu fake kabisa hicho....huo ni utetezi wa kitoto sana. Yanga wenyewe wanakiri pesa wamewalipa Singida...mil.30. Yeye Kagoma wapi Yanga wamesema wamempatia pesa.
Halafu mkataba ni Transfer Agreement...kati ya Yanga (Seller) na Singada (Buyer) πππ
Kwanza unatakiwa uelewe pingamizi la Yanga liliwasilishwa lini pale Tff.
Kama Tff wangekuwa wanafuata utaratibu wa mpira wa miguu, hivi tunavyo andika Kagoma angeshakua amepewa adhabu muda mrefu ila kinacho fanyika ni yaleyale ya Lawi, Awesu Awesu, Valentino.
Kuna klabu ingekua imesha fungiwa kufanya usajili na faini juu.
Ndugu mbumbumbu usajili ni TMS, kinacho lalamikiwa ni mchezani kufanya hadaa na kufanya signing ya timu mbili.
Swala la Yanga kufungiwa alihusiani na uhamisho wa mchezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine.
Na wakati ayo yanafanyika Yanga alikua hajafungiwa kuingia mikataba kwakua ata dirisha la usajili lilikua Bado halijafunguliwa.
Na ata timu ikifungiwa ikisha lipa inaendelea kusajili.
Mikataba ya wachezaji inaingiwa muda wowote katika msimu mradi timu yake iwena taarifa.