Kitendo kilichotokea kuonyesha makomandoo wa yanga wana nguvu kuliko polisi,kiliashiria tishio la usalama kwa mechi hiyo kufanyika tarehe 8.
Bodi ya ligi iliamua kuahirisha mechi baada ya kupata taarifa ya afisa usalama aliyeteuliwa pamoja na kamishina wa mechi ya derby.
Mwanasheria wa yanga amewadanganya watapewa pointi 3 za mchekea eti kwa vile walienda uwanjani yaani bila hata waamuzi wa mchezo kuwepo- hii ni maajabu!
Bora wangemwalika Mzee kikwete na Sunday Manara wangeamua vizuri.
Ninyi viongozi wa yanga mlihatarisha usalama wa timu mgeni halafu mnataka mpigwe faini ya milioni moja na mechi ichezwe katika mazingira yasiyoashiria uwezekano wa kuwepo usalama?
Viongozi wa Simba sasa naona kumbe walikuwa sahihi kwani waliona viashiria vya kuvunjika kwa amani kwa vile hata serikali ilishindwa kuwahakikishia usalama mbele ya watu wachache wanaoitwa mabaunsa wa yanga,vipi Simba nao wangeamua kuomba msaada kwa wanachama wao?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app