Mwanasheria wa Yanga unatuchukuliaje sisi?

Mwanasheria wa Yanga unatuchukuliaje sisi?

GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2023
Posts
5,110
Reaction score
7,349
Nao Barcelona wamefungiwa kusajili?
Kusajili ni maamuzi ya timu. Haijawahi tokea dirisha kubwa la usajili YANGA ikashindwa kusajili. Hizo barua za FIFA hazijaanza kutoka Jana au juzi. M 60 ni hela ndogo saana kwa KLABU ya YANGA
 
Back
Top Bottom