GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Lakini hawakutoka kwenye media na kurecord viklip uchwara na mikataba feki ya osmane dembeleBarcelona wangali wanalipa kwa mafungu hell ya usajili ya OTHMAN DEMBELE ingawa alishahama. Cha kuzingatia ni mkataba au makubaliano tu.
Nao Barcelona wamefungiwa kusajili?Barcelona wangali wanalipa kwa mafungu hell ya usajili ya OTHMAN DEMBELE ingawa alishahama. Cha kuzingatia ni mkataba au makubaliano tu.
Kusajili ni maamuzi ya timu. Haijawahi tokea dirisha kubwa la usajili YANGA ikashindwa kusajili. Hizo barua za FIFA hazijaanza kutoka Jana au juzi. M 60 ni hela ndogo saana kwa KLABU ya YANGANao Barcelona wamefungiwa kusajili?
Kesi ya kagoma inasemaje ?Anawachukuliaje ww na nani sasa?
Uliza anakuchukuliaje
Kagoma tunaye na tunatamba naeSimba acheni domo gubu.
Utaratibu wa kuonyesha mikataba feki mitandaoni?Kila timu ina mambo yake na utaratibu wake
Haisemi kituKesi ya kagoma inasemaje ?
Na anakiwasha uwanjani mpaka mnalia mwiko nyumaHaisemi kitu