Masikini tunapata shida sana linapokuja suala la msaada kisheria
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hawa watu huwa hawatoi ushauri wowote bure,labda toa dau ndo watajitokeza lkn bila dau ni ngumu kuwapata
josam, ushauri hurolewa sana tu. Hapa tatizo umesema unahitaji wakili/mwanasheri, kwenye maelezo unataka ushauri kuhusu makadilio ya malisho toka kwa mwanasheria wa mifugo. Hapo hakuna mwanasheria atakujibu kiusahii, vinginevyo uongezee maelezo mazuri zaidi. Hata hivyo, kwa nilivyokuelewa, hutapata mwanasheria wa mifugo au malisho. hata tanzania hatuna kitu kama hicho. cha msingi nyoosha maelezo, upo? mandwaTehe.... mandwa, kazi tunayo. Mpaka leo, katika Watanzania takribani millioni 20 wenye umri zaidi ya miaka 18, hakuna aliye jitokeza kutoa shauri. Je, watu wenye taaluma kama hiyo hatunao kaka jamii? mhhh!