Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yapo mambo yameshawekwa wazi kwenye taratibu za ajira. Kila mfanyakazi ana masaa ya kazi na baada ya muda huo yupo huru kufanya kazi zake.
Tanzania tuna upungufu wa madaktari bingwa. Wanataaluma ya udaktari wa binadamu wameweka utaratibu wao wakusaidiana kuokoa maisha
Mfumo wa afya wa nchi umejengwa kuhudumia wagonjwa mchana na kama kada nyingine za huduma. Hospitali hata wakati mwingine za rufaa hazina huduma za usiku zinazolingana na mchana.
Hali hii imetengenezwa ombwe kubwa la wagonjwa wa usiku kukosa huduma. Lakini pia weekend nchni kwetu hakuna huduma za afya zinazofanana na week days? Means wagonjwa wengi wa usiku na weekend wanalazimika kuokoa maisha yao kupitia private hospitals
Leo Mhe. Waziri badala aache utaratibu wa maafisa utumishi wa kushughulika na madakta wanaokiuka masharti ya ajira yeye anakwenda kudhibiti wale wanaomtii masharti ya kazi na wakimaliza wakaenda kutoa huduma kwingine wawajibishwe.
Ukiangalia anasimamia sheria gani hakuna , ila ametamka bila kujali kwamba hawa watu hata wakifanya kazi masaa 24 bila kulala wanachofanya nikuokoa maisha ya wananchi wasioweza kwenda kutibiwa VIP .
Nadhani Waziri anawajibika kuomba radhi kwa umma lakini pia anawajibika sasa KUANGALIA NAMNA HUDUMA ZA USIKU NA WEEKEND ZINAVYOWEZA KUBORESHWA KWANI UGONJWA HAUNA MCHANA WALA WEEKEND. NA NAFSI ILIYOPOTEA WEEKEND AU USIKU KWA KUKOSA HUDUMA IMEONDOKA HAINA SPEAR.