TANZIA Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu

Pole sana Familia, Njelu Kasaka apumzike kwa raha na Amani.
 
Huyo ni mbunge wa zamani wa Mbeya mjini kama sikosei.
Ndiyo tatizo la jukwaa kuvamiwa na vitoto vya Division 5 kula kulala, huyo alikuwa ni Mbunge wa jimbo la Lupa mkoani mbeya wilaya ya chunya,kwa sasa Jimbo la Lupa lipo mkoa wa songwe,
 
Daa kweli nimesaka historia yake hadi nimeoa na picha kabisa kweli alikuwa kichwa. Poleni sana
 
Kabisa hata ongea yake ni mtu mwenye msimamo fulani
 
Huyo Njelu Kasaka alikuwa team ya wabunge 55 maruhuni waliotaka kuvunja muungano likawadodea wao na na waziri mkuu wao John Malechela anyway om Shanti Shanti Shanti!!!
 
Ndiyo tatizo la jukwaa kuvamiwa na vitoto vya Division 5 kula kulala, huyo alikuwa ni Mbunge wa jimbo la Lupa mkoani mbeya wilaya ya chunya,kwa sasa Jimbo la Lupa lipo mkoa wa songwe,
Ona sasa unamdhihaki mwenzio kumbe ni wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…