Mwanasiasa wa Kanada Bill Oliver akosolewa vikali baada ya kusoma Bungeni hotuba iliyotengenezwa na AI bila kuihariri

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wanasiasa mnaotengeneza speech kwa AI kuweni makini kuna mwenzenu yamemkuta huku

Bill Oliver, mwanasiasa wa Kanada ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumia Akili Mnemba (AI) kumsaidia kuandika hotuba, lakini akasahau hata kuipitia kabla ya kusimama kuongea

Soma Pia: Bado watanzania wengi tunashindwa kutofautisha aina za AI na matumizi yake japo ni AI zote

Matokeo yake?

Alisoma mpaka yale maelekezo ya chatbot yenyewe kwa sauti kubwa: "Here's a more natural, flowing version of that section..."

Muwe makini huko mnakoendaga kutoa speech msije mkadhalilika

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…