Mwanasiasa wa Kenya, George Wajackoyah adai aliwekewa zuio kuingia Tanzania, atoa siku 7 apate maelezo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania.

Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye kuingia Tanzania na hivyo anahitaji ufafanuzi kutoka katika mamlaka za Nchi zote mbili kwa kile akichotendewa

Wajackoyah amekiambia Kituo cha Citizen Digital kuwa anashangazwa na ukimya wa Serikali ya Kenya na ameipa siku 7 mamlaka ielezee sababu za zuio hilo huku akiitaka Tanzania nayo ijisafishe kuhusu kilichotokea

====================

'I Have Been Banned From Entering Tanzania,' Wajackoyah Says

Roots party leader George Wajackoyah now claims that the Tanzanian government has issued a red alert barring him from setting foot in the neighboring country.

Wajackoyah says he was in Tanzania two days ago as a guest of these Chadema party and was mistreated by Tanzanian authorities.

The Roots Party leader says while in Arusha he was detained for a long time only to be later informed that there was a red alert barring him from getting into Tanzania.

Wajackoyah says he was shocked with the treatment from Tanzania adding that he is demanding for an explanation from both Kenya and Tanzania governments.

Speaking to Citizen Digital in Kisumu on Friday, he said the Kenyan government is suspiciously quiet about his tribulations in Tanzania.

Wajackoyah says he has given the Kenyan government a period of seven days to respond on the matter and press Tanzania to come out clean on the travel ban imposed on him.

Source: Citizen Digital
 
FB_IMG_16709600234332125.jpg
 
Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania.

Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye kuingia Tanzania na hivyo anahitaji ufafanuzi kutoka katika mamlaka za Nchi zote mbili kwa kile akichotendewa

Wajackoyah amekiambia Kituo cha Citizen Digital in Kisumu on Friday kuwa anashangazwa na ukimya wa Serikali ya Kenya na kuwa ametoa siku 7 kwa mamlaka hizo zielezee sababu za yeye kuwekewa zuio hilo.

====================

'I Have Been Banned From Entering Tanzania,' Wajackoyah Says

Roots party leader George Wajackoyah now claims that the Tanzanian government has issued a red alert barring him from setting foot in the neighboring country.

Wajackoyah says he was in Tanzania two days ago as a guest of these Chadema party and was mistreated by Tanzanian authorities.

The Roots Party leader says while in Arusha he was detained for a long time only to be later informed that there was a red alert barring him from getting into Tanzania.

Wajackoyah says he was shocked with the treatment from Tanzania adding that he is demanding for an explanation from both Kenya and Tanzania governments.

Speaking to Citizen Digital in Kisumu on Friday, he said the Kenyan government is suspiciously quiet about his tribulations in Tanzania.

Wajackoyah says he has given the Kenyan government a period of seven days to respond on the matter and press Tanzania to come out clean on the travel ban imposed on him.

Source: Citizen Digital

Hilo livuta bangi la hovyo kabisa !!!
 
Kha! Tanzania Ijisafishe kisa yeye
Haya bwana
 
Back
Top Bottom