Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana.
Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki basi huyo aliyeshitakiwa hutakiwa kukanusha huo ushahidi wa walioleta mashitaka.
Tuache sheria ifuate mkondo maana kuwa na kesi ya kujibu sio kutiwa hatiani bali ni kupewa nafasi ya kupinga ushahidi wa waliokushitaki ili uweze kuachiwa huru.