Kufikia kuwa na kesi ya kujibu, si inabidi pawe hapana doubt?
1. Wale mashahidi wewe binafsi hawajakupa doubt?
2. Kuwaacha mashahidi wengine, wasitoe ushahidi wao na huku walishasemwa kuwa watakuja kutoa ushahidi, wewe hakukupi doubt yoyote?
3. Unadhani, kwa vile kuna sehemu nyingine ya kupruvu beyond reasonable doubt basi huku kwa mwanzo kuburuzwe tu?
4. Hao mashahidi walioachwa, ina maana hawana kipya zaidi ya walichokwisha kukisema wenzao? AU wameona cross examination, kwa ushahidi walionao. WATATUPWA NJE VIBAYA?
NI UJINGA KUIPELEKA HII KESI MBELE ZAIDI YA ILIPOFIKIA... mawili
la kwanza, DPP aifute
au, la pili, Hakimu atoe amri kuwa watuhumiwa hawana kesi ya kujibu
Nje ya hapo, KUNA SAFU YA VIONGOZI INAENDA KUDHALILIKA