MwanaSimba yeyote aniambie sababu zozote za maana za kumtimua Uchebe

Uchebe alikua bata boi....
Na alikua anakula bata na wachezaji washikaj zake ikafikia kukawa akuna nidhamu ya team mtu anakuja tiz morning kocha kalewa mkude nae ana hangover ya ela yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya simba ilipoteza nini kwa bata zake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…