Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

Saimon Msu... Na Mohamed Hu.......
 
Lunyamila alistahili kiukweli
 
Haruna Moshi Boban
Kelvin Yondan
Athuman Idd Chuji
Victor Costa
Selemani Matola
Ibrahimu Ajibu
Zamoyoni Mogela
Said Mwamba Kizota
Peter Tino
Boniface Pawassa
Wengi Sana...
 
Kwangu mimi kikosi chote cha Simba SC si cha nchi hii.. wanatakiwa hadi sasa wawe wametapakaa katika ligi mbalimbali ndani ya ulimwengu huu.
 
Kwangu mimi kikosi chote cha Simba SC si cha nchi hii.. wanatakiwa hadi sasa wawe wametapakaa katika ligi mbalimbali ndani ya ulimwengu huu.
Acha mzaha...yule Lufunga itakuwa anagawana mshahara na Haji Manara.....jitu halina ball control kiasi kile....hakuna mchezaji kutoka Tanzania anaweza kucheza Ulaya moja kwa moja kutokea VPL ...mpira wetu wanacheza kwa speed ndogo sana....mwaka wa 37 bila ya AFCON ...wacheze AFCON ndio watakuwa na kiwango cha Ulaya....Farid sio la liga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…