Mwanaspoti: George mpole darasa la saba 2005, sua 2010

Mwanaspoti: George mpole darasa la saba 2005, sua 2010

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
naaam niko hapa napitia mahojiano ya ya mpole na makanjanja ya mwanaspoti mambo ni bull bull

mpole-1-jpg.2332380

mpole2.JPG
 
Waandishi wengi ni vilaza ameshindwa kuona tofauti
Halafu sijui kasema ana miaka mingapi maana 2005 mpaka Sasa ni miaka 17
 
George hajasema kama ni degree, dipolma ama certificate, mwandishi ndio kaunda hiyo degree..

Hivi hakusema mwaka wa kuzaliwa, tupime na huo mwaka wa shule.. Maana wachezaji bongo kupunguza miaka hawajambo.
 
Labda kabukua kama Erick Shigongo.

Eric hajagusa kabisa elimu ya sekondari na alifeli elimu ya msingi ila akatandika GPA ya 4.8 Chuo Kikuu kwenye shahada yake ya kwanza.
 
Mwandishi amesema nanukuu"wanaomchukulia poa George Mpole wanakosea jamaa ana Shahada ya SUA". Sasa ndio maana watu wameuliza miaka mitano amesoma ordinary level na Advanced Level?
Kwan haiwezekani???? Kama alipitia QT miaka miwili na moja kasomea Advanced inakueaje
 
Kama alianza shule na miaka 7 then 2007 ndo alitakiwa awe LA saba.... Na asilimia kubwa mikoani wengi wanaanza na miaka 7.
 
Back
Top Bottom