Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume akazimia, halafu akamfunga na kamba kwaye kiti, akasubiri azinduke. alipozinduka akaanza kumpa dozi za viagra, mchezo unaanza, akiona jamaa nguvu inapungua, anamuongea dozi ya vagra.
Sasa nakubali kumbe mwanamke anaweza kubaka mwanaume, lakini sheria za Tanzania hazikubaliani na hilo, mmmh!
Sasa nakubali kumbe mwanamke anaweza kubaka mwanaume, lakini sheria za Tanzania hazikubaliani na hilo, mmmh!