Mwanaume abakwa huko urusi

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume akazimia, halafu akamfunga na kamba kwaye kiti, akasubiri azinduke. alipozinduka akaanza kumpa dozi za viagra, mchezo unaanza, akiona jamaa nguvu inapungua, anamuongea dozi ya vagra.

Sasa nakubali kumbe mwanamke anaweza kubaka mwanaume, lakini sheria za Tanzania hazikubaliani na hilo, mmmh!
 
Nilicheka sana hii...simsikitikii,ndiyo maana wanasema kuna fani ambazo ni kipaji au wito.ningekuwa Jaji ningetupilia mbali hiyo kesi
 
jamaa kiana alifaidi mbaya nahisi shosti alisuguliwa mpaka akaridhika..
 
angekuwa bongo wala hikuwa na haja ya kumteka huyo jamaa
 
kama ni mimi ningeenda mahakamani kudai fidia tu ili nipate mkwanja lkn kama ni ku enjoy basi wote walienda sawa
 
kama ni mimi ningeenda mahakamani kudai fidia tu ili nipate mkwanja lkn kama ni ku enjoy basi wote walienda sawa
 
Mhmm, ila nadhani anaweza kumuuwa maana Vigra mfululizo hatari sana hiyo
 
Hii kali,si angemkubalia tu kwa hiari,akam do tu kwa ustaarabu!
 
Mbona hamana kesi hapo...mie ningemwambia asinifunge wala nini, ya nini wakati mie pia na ukwasu..lkn huko URUSI jamani mbona manamake mengi tuuu...............
 
Kwanza anakuja na mkwala huu....

Mwisho anakuchukua na kukufunga na baadaye anakubaka. Utashughulikiwa hadi ukome, wee acha.

 
Kwanza anakuja na mkwala huu....Mwisho anakuchukua na kukufunga na baadaye anakubaka. Utashughulikiwa hadi ukome, wee acha.
ha ha ha, huyu angenishika mimi lazima angenitoa mbio maana mimi inafanana na kidole cha mwisho
 
Yeah hilo ni kosa kisheria, kwa sababu huyo mwanaume haku cosent kufanya mapenzi na huyo mwanamke, u know consent is that which brought the presumption of validity, so there is no validity to that case as there is lack of consent. Then that woman has rape, the legal position in tanzania is there is no such offense under our penal law, i think it will be the court's discretion which to me amount into merely bias if it will happen in tanzania it will be better if judges will appeal to the legal standard than use their own discretion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…