Jamani, binadamu wengi sasa siyo wale walioumbwa na mwenyezi Mungu, wameshatekwa tena sehemu nyeti sana. Imebaki tu mifano ya 'binadamu wapo hivi, lakini wenyewe waliishatoka. Mtu ambaye ana akili timamu hawezi kufanya jambo kama hilo, never. Kuna machine ipo ndani ya miili ya watu ndo inayofanya watu wafanye kufuru za ajabu. Watu wa Mungu tuzidishe maombi kwani man made laws haziwezi kuzuia mambo kama haya, zenyewe zinashughulikia matokeo tuu, hata kama mtu kishauawa. Haziwezi kuzuia kazi za shetani na ndo maana mtu kama huyu siku akirudi kwenye fahamu zake anaishia kusema shetani alinipitia. Tumtangulize Muumba katika maisha yetu.