Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Nzuri
 
Tayari mkuu.mwambie tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nshamsahau ila kama utakumbuka ufanye kumtag
๐Ÿ“Sio kila mama inafukuziwa hvo, ni mama tu zenye akili na ambazo unaona mtafika mbali ufanye hvo hz zngn force mazingira kinamna hz zngn zikija dandia kibabe penyeza hata Kwa pembeni Pichu inayofuata ndo mvue mpigie fresh

๐Ÿ“Usicopy strategy ya mtu kila mtu ana akili zake

๐Ÿ“Usiaply hyo mbinu kama una nyege mshindo๐Ÿคฃ, nyege hua zina tabia ya kuleta hasira flan utakuja uharibu kabla hajatoka pangoni! tafuta pa kupunguzia genye wakati unamfukuzia huyo long term target wako

Natania bn
 
Kwahio ukinipata na Mimi nikakupa mchongo wa kuingiza hiyo 350000/= KWA wiki utaacha kumuombea na maombi pande HIZI !!?
 
Kuna biashara ninaifanya, naomba baadhi ya wateja wangu nikupatie wewe uwe unaingiza faida ya 350,000 kila mwezi au zaidi. Hiki ndicho ninachoweza kukifanya kwako," akasema. Nilimshukuru sana aise. ๐Ÿ™ Ngoja nifupishe.

Aunt abiria kumbe ndio maana title ya uzi imejaa makopa kopa ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
 
Love is beautiful thing created by God

Wale Chaputa na Kataa ndoa jiandaeni kula Ubwabwa, Babu yenu nakaribia kuoza Mjukuu soon ๐Ÿค—

Kila la kheri Mkuu ๐Ÿ™
Yeuyeeeeโ€ฆ.

Hadi makande tatakuwepo babu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Aunt abiria kumbe ndio maana title ya uzi imejaa makopa kopa ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Anko dereva we acha tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Tufurahi jamani Jf iko kwa ajili yetu๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Bonge moja ya ujumbe.

Kunywa kinywaji hapo nakuja kulipa Niko njiani naja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ