Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Kipindi wenzetu mnasindikizwa shule na mkate umejaa jam ya chocolate sisi tulisindikizwa na teke na hatukuelewa, kweli ng'ombe wa masikini hazai

Anyway dada Chakorii ulitaka kusema umeliwa kimasihara au mwamba kakupa wateja yani sielewi
 
Hahahaha,eti kaliwa kimasuhara
 
Haya hebu tulia futa uandike tena bwana, inaonekana hii story nzuri na sitaki kupitwa.
 
I got you.
Imafikirisha.
But Cation..... Ukiwa na akili Mapaja yako yatavuta wenye akili wenzio na Ukiwa Mjinja, mapaja Yako yatavuta wajinga wenzio.

Take time to learn. Find knowledge.
 
Kwa aina hii ya wananchi mimi nisingeuza bandari tu, ningeuza hadi bandama zao
 
mwanaume huwa hakati tamaa kama ukaribu upo ni suala la muda tu utajaa kwenye maokoto
 
Ukute umekunywa hujalewa sana yaan unakua na wenge flan afu kale kamzuga ka kukojolea kichakani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Raha yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaaa.
 
Siku hizi mwanaume kujitesa hivyo ni uzumbukuku na ushamba WA Hali ya juu Sana.

Huo muda wajanja Hawana.
Ingawaje ulichosimulia bado kipo Kwa wanaume wachache Mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…