MWANAUME ALIKUWA KIMYA KATIKA KITANDA ...!!!!

Icon Special

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
257
Reaction score
230
...Akiwa KITANDANI AKIWA ANAFIKIRIA KITU.....

Mke akawaza, """mbona baba Fidodido sio Kawaida yake kuwa kimya kiasi hichi""".....

""Kwa nini ataki kuzungumza na mimi wakati sio Kawaida yake ?""

""au anamfikiria mwanamke mwingine?""

""au amempata mwanamke mwingine?""

"""au Anafikirilia namna ya kuniacha anajaribu ?"""

""Au Kwa sasa ananiona mimi mbaya?"""

""au siku hizi umbo langu alimvutii kama zamani ?"""

MWANAMKE AKIWA ANAENDELEA KUWAZA AKAFANYA MAOMBI KIMYA KIMYA..
((( uliye juu , tafadhali nusuru ndoa yangu, ondoa mapepo wachawi ktk ndoa yangu, nafunga milango ya michepuko na bamedi, okoa ndoa hii angamiza mawazo machafu anayowaza mume wangu"", naomba Nikushukuru amen)))

ALIINUKA NA KUMUULIZA MUMEWE... UKU MACHOZI YAKIMTOKA.... unawaza nini Muda Wote Mume wangu ...,
"kwa nini hutaki kuongea na Mimi chochote ?"

MUME :- "Inawezekanaje Liverpool kumfunga Barcelona 4-0 wakati tuna Messi, Suarez na Coutinho ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…