Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

How serious are you?
 
usiweke kabila bwana
Hahahaha, sio dhambi mkuu ili atakayependa awe anajua kila- kitu. Au unaogopa maana makabila mengine wanaonekana wasaka dili?
Bora useme mapema maana akija kugundua kuwa ulimdanganya mapenzi yatapungua.
 
Kwa post yako.. You are too independent to need a man.. Me hapo am out.. Waliotayari waje tu
 
Hahaa muwe mnataja mmetumika mara ngap mnawatoto wangapi so kaz kutafta pa kufia sababu ulishakula ujana...

Subira waje waume za watu we miaka 28 ulikua wap
 
tour phone number?
 
mie nimeogopa kabila kuna yaliyotokea hivi majuzi dumila kati ya mchaga na mkikiyu. mchaga anaongea na wauaji kuwa hamjammaliza huyo fala mana simu yake ilishikwa na polisi. MUNGU niokoe
 
Naomba unipe pictures zako kathaa please if u can
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…