KijikoYajiko
Senior Member
- May 8, 2012
- 106
- 19
Hua wanakua na roho nzuri sanaaa
Hata mwanaume anaempenda sana mama yake huwa wanajua kupendaaaa
nakusapoti my dear,nisham'date mmoja..anajua ku'handle mwanamke jmn,roho iliniuma kuachana nae ila ndo hvo,life goes on
Kwakawaida huyu upande wa ndoa ni mume mzuri sana. Huwa karibu na mkewe. Humpenda mkewe kwa dhati. Hayuko tayari kuona ananyanyasika. Huwa karibu na wanae. Humsaidia mkewe kila awapo na nafasi. Ila pia huwa na wivu sana kwa mkewe na binti zake. Kumbuka ameishi na Mama zaidi. Hivyo anakuwa anafeal zaidi wanawake. Actually,wanawake wanaoolewa na wanaume hawa,huenjoy sana hasa kama ni wanawake watulivu. Kama hawajatulia huona kero maaana wanaona wanaume wanakuwa kama wanawachunga vile.I like them!nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???
kwani huko mtaaani unakoishi hakuna wa namna hii jaribu kuwafata uwaulize vizurinimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???
Hua wanakua na roho nzuri sanaaa
Hata mwanaume anaempenda sana mama yake huwa wanajua kupendaaaa
Anakuwa kama huyu hapa:
Ben Carson - Wikipedia, kamusi elezo huru
nakusapoti my dear,nisham'date mmoja..anajua ku'handle mwanamke jmn,roho iliniuma kuachana nae ila ndo hvo,life goes on
nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo,je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake?je tabia zake zinakuwaje??anaweza kuwa mwanaume halisi yaani roho ngumu?nachojua watoto wa kiume wanatakiwa kuwa karibu na baba zao ili wakopy mambo kadhaa kwa baba zao,je kwa aliyelelewa na pande zote mbili yaani baba na mama na aliyelelewa na mama peke yake wana tofauti???
kuachwa kubaya sana
Mzazi wa namna hiyo anapaswa kabisa kupimwa akili zake Milembe, Baba ambaye mimi nakubali asamehewe ni hhawa wa dizaini waliopena ujauzito wakiwa shule na wote kiumri wako under 20 na isitoshe mwanaume hana kipato naye anategemea pesa za kupewa, huyu anaweza kusamehewa lakini jitu zima na akili zake na kipato chake unatelekeza mtoto!? hapa huwezi kuwa na akili timamu.
Haiingii akilini mimi nilikuwa na Girlfriend nikiwa shule lakini akaja kuolewa na mtu mwingine kwa sababu sikuwa tayari kimaisha na nilikuwa napiga deiwaka ughaibuni, lakini mpaka leo akiwa na shida ya pesa huwa namsaidia kama ninazo licha ya kwamba ana mume wake na mimi sifanyi naye kabisa ngono, ndio nithubutu kumtelekeza mtoto wangu mwenyewe?
Wanaume waliolelewa na upande wa mama kwa asilimia kubwa ni mizigo tu ni mara chache kumkuta anaweza kupambana ni waoga legelege wapenda starehe na wasumbufu hao usipime kukutana nae!