Mwanaume aliyelelewa na mama peke yake, ni mtu wa aina gani?


Kama ulikuwepo mkuu wa kiume wa cku hz majanga matupu
 
Rais wa Dunia Barack Obama alilelewa na mama yake baada ya baba kwenda AWOL.
 
We bogasss kabisa. Still wewe bado ni shahawa zake tu.....
 

you touched my heart.. Kissez to ur beautful n wonderful mama
 

U said it all!!!
Wana upendo sana!!
Ni husband material!!
Ila kwenye kazi mhhh!!!
Ambao hawaja pata elimu ni majanga!!
Wavivu huwa mara nyingi!!
 
Hapa umeongea kweli ila inauma kwa ss single parented
 
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] cna neno ujue
 
Hilo ndiyo tatizo la mtoto kulelewa na mzazi mmoja, hasa mama humjengea chuki mtoto juu ya baba, kitu ambacho kama mtoto ni wakike haji kuishi na mume vizuri. Ila nakuambia toa chuki uliyo nayo kishwani umepandikizwa,. mtafute baba utajinfunza mengi .Wengi waliolelewa na mzazi mmoja wamepandikizwa chuki juu ya mzazi mwingine ndiyo kosa kubwa wazazi wanalofanya.
 
Ukiacha mzazi aliyefiwa na mwenza, wengine huwajengea chuki watoto wao juu ya mzazi mwingine kitu hiki kwa bahati mbaya huwathiri watoto kike zaidi kuliko wa kiume. watoto wa kike wanakuwa hawaoni umuhimu wa mume katika maisha yao ni lahisi sana kuvunja mahusiano au ndoa. Kosa sio la watoto kulelewa na mzazi mmoja kosa ni mzazi anawaambia nini watoto wake juju ya mzazi mwingine ambaye hawakonaye.
 
Umenena vyema ndugu yangu
 
Malezi ni ya pande mbili.

Automatically lazima atakuwa na problem sehemu fulani
 
Wazi
 
Wamama wanalea watoto wa kiume katika pigo za watoto wa kike ule u gentleman una pungua kijana anadeka sio poa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…