Mwanaume anakoma kukua akiwa na umri gani?

Mwanaume anakoma kukua akiwa na umri gani?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
Ni swali ambalo nimejiuliza siku nyingi na bado sijapata jibu,hivi mtoto wa kiume ile pembejeo yake ya haja ndogo inakoma kuongezeka size akiwa na umri gani.Maana kwa kawaida mtoto akizaliwa inakuwa ya kitoto na kadri anavyoendelea kukua nayo inaongezeka,mpaka pale anapopevuka.Sasa kwa upande wangu naona miaka inavyoongezeka na hii pembejeo na yenyewe inaongezeka mpaka imefikia wakati naogopa sasa,naomba msaada tafadhali wakuu hii ni hali ya kawaida au ni kitu kisichokuwa cha kawaida?
 
inaongezeka?....mmmmmh....:confused2:
 
Una wasiwasi gani? Kitu kikiwa kirefu sana si utakuwa unajifurahisha mwenyewe.
 
Mi nahisi akifikisha 18, when he competes the adolescence cycle. The size changes according the the body
 
Mi nahisi akifikisha 18, when he competes the adolescence cycle. The size changes according the the body

tatizo linakuja........wengine ukiwaona kwa nje ni wakubwa kweli.....lakini kwa ndani wana vibamia.....hapo ndio huwa sielewagi
 
tatizo linakuja........wengine ukiwaona kwa nje ni wakubwa kweli.....lakini kwa ndani wana vibamia.....hapo ndio huwa sielewagi

Kwani wewe unataka hipi? Kibamia au jamaa awe anasukuma maini na figo zako kifuani?
 
mapafu, kongosho, wengu vyote vipelekwe mbele

avatar_2463.gif
27949.gif
:whoo::whoo:
 
Nasikia unaweza kupata kansa. Hivyo penda vibamia.

heri kuishi maisha mafupi ya burudani na ridhiko la moyo, kuliko maisha marefu ya shida na malalamiko.....kwa maana kila nafsi itaonja mauti.....that is 4 me
 
heri kuishi maisha mafupi ya burudani na ridhiko la moyo, kuliko maisha marefu ya shida na malalamiko.....kwa maana kila nafsi itaonja mauti.....that is 4 me

Kwikwikwi, kwani burudani ni kula uroda tu? Kuna mambo mengi ya kukupa buruduni na ridhiko la moyo. Na mkonga wa tembo is not one of them. Besides, mwanamme anatumia 30 seconds kufika kileleni na mwanamke inamchukua dakika kufika kileleni. Hivyo cha muhimu ni stamina ya mwanamme kumfikisha mwanamke kileleni na sio penile size.
 
.....nenda gym kuna mazoez ya kupunguza mashine au kuongeza.....
nenda uko utapata tiba ukitaka kuifupisha mpk inchi moja poa utawezeshwa....
au ukiwa unalala usiku basi ifunge na lababend kwa mbele basi aitanyoka kwa mbele tena!!!!
 
Ndio maana yake,a.k.a inazidi kuwa kubwa.

:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Inategemea sana kuna wale wanaoanza kukua miaka 14, lakini wengine inaanza mabadiliko katika miaka ya 15. na kufikia miaka 24 hivi inakuwa katika full growth. japo inaweza kuendelea kidogo. kulingana na vitu vingi vya ukuaji wa mwili.
Mi nahisi akifikisha 18, when he competes the adolescence cycle. The size changes according the the body
 
Back
Top Bottom