Mwanaume anapopoteza bikira yake.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Ya mwanamke bikira yake vipimo vipo wazi na ya mwanaumme tutaipima kwa kutumia vipimo vipi?
 
Post nyingine bwana, nimeshangaa mpaka najisikia kwenda haja ndogo.
 
Niliwahi kusikia mahali kuwa, mtoto wa kiume akiwa anakojoa mkojo ukaenda juu basi huyo hajaanza uharibifu. Ikitokea mkojo ukatoka kwenda straight chini kama bomba la maji, basi huyo tayari keshafanya uharibifu.

Sababu - kuna vimishipa fulani huwa vinaloose confidence mtoto akianza uharibifu.

Kama kuna wataalamu wa mambo ya afya watuambie au watusaidie.
 
Kwa akina mama wa Kiarabu, siku hizi zinashonwa na kuwa kama mpya.

Wakuja akiowa anafikiri kaowa bikira kumbe kilometer kibao zimeshakwenda.

Kwa wanaume nasikia Sheik Yahya ana mashine inaitwa Mt**bo meter.
 
Hii inafanyika sana kule KwaZulu, Natal!
 
Kwa akina mama wa Kiarabu, siku hizi zinashonwa na kuwa kama mpya.

Wakuja akiowa anafikiri kaowa bikira kumbe kilometer kibao zimeshakwenda.

Kwa wanaume nasikia Sheik Yahya ana mashine inaitwa Mt**bo meter.
Kaka ni Wasomali!
 
inapotea akitahiriwa sommwanaume anapoteza bikira akiwa na umri mdogo sana yani kabla hata hajabalehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 

hahaa... weyeee... ukikojoa nje wakati umedisa si mkojo waenda juu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…