nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Umeona eeh!, halafu hiyo avatar yako inanikumbusha kufikiria watu wanavyopitia njia ngumu, kwa uwezo mkubwa wa kiakili wanafanikiwa kufika UDOM wanaishia kuitwa "VILAZA!".Hahahaha[emoji12] [emoji12] [emoji23]
Jamaa ana akil sana huyo
Haki ya mungu nimecheka saaanaPale unapofukuzia mchepuko halafu mkeo anatokea
Hongera kwa kuwa happy weekend hii!Haki ya mungu nimecheka saaana