Mimi nina nyumba na gari.familia pia niko nayo.ila nijuacho na nilivyochunguza duniani hapa hakuna kitu kizuri maishani kama AMANI moyoni.na kwa mala nyingi amani hii huletwa na vitu kama uzima wa afya.maelewano mazuri na watu pamoja na huo uhakika wa kulala na kula.unaweza kua na nyumba na gari lakini ukawa unaishi kwa mawazo sana juu ya ugonjwa ulionao,juu ya madeni uliyonayo,juu ya ugomvi na watu uliowadhulumu,na mambo yafananayo na hayo.kwa mimi cha msingi kabisa
1.AMANI
2.UZIMA
3.KULA NA KULALA
4.MJUMUISHO WA KULA NA KULALA V/S ADA YA WATOTO