Mwanaume asiye chagua Sura wala Umbo Nipo Hapa

FrankJ

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
14
Reaction score
3
Natafuta Mke wa kuoa. Mimi sichagui umri wala umbo wala sura. Natafuta mke wa kuoa. Ukitaka kujua Wasifu wangu ni PM ntakutumia hadi picha. Nipo serious sana kwa hili. Naimani mke wangu wa kufa na kuzikana, yaani wa maisha yupo humu. Sasa basi mke mtarajiwa njoo ukutanishwe na mimi kama alivyopanga Mungu tuwe pamoja.
 
Mkuu umechemka, mbona unaficha? Ww utakuwa una VVU au mbaya kishenzi.
Nahisi elimu yako itakuwa la saba wewe. Mimi mwanaume mwenzio ila weka wasifu wako acha kupiga chenga.

Nakuelimisha tu jinsi ya kufanikiw katika jukwaa hili usinirushie mawe.
 
Mkuu unamaanisha nini?.....
fat and ugly 1.jpg
 
Mh hilo bandiko lako limenifanya niingie japo nisome niyape macho yangu nuru!!
 
Mkuu umechemka, mbona unaficha? Ww utakuwa una VVU au mbaya kishenzi.
Nahisi elimu yako itakuwa la saba wewe. Mimi mwanaume mwenzio ila weka wasifu wako acha kupiga chenga.

Nakuelimisha tu jinsi ya kufanikiw katika jukwaa hili usinirushie mawe.

Acha dharau! Mbunge wa Rorya ana elimu hiyo hiyo, alimpiga chini Profesa kwenye uchaguzi!
 
mimi nina shape na sura naona sikufai
 
Kama kitabia haupo fresh hunifai ndio naangalia zaidi tabia na sio shape na sura.

Kama tabia yako njema nitafute kwenye PM.
tabia ninayo njema ila wewe unataka asie na shape wala sura na mimi nina shape na sura!
 
Nimerudi ndugu zangu kwa furaha kubwa naweza sema nimepata mwenza toka JF humu. Kwa sasa tunachat tu ila bado hatujaonana ingawa yeye kaiona picha yangu tayari na ameridhika. Mimi bado sijaiona picha yake na anadai kwamba kwa kuwa nimesema sichagui chochote hawezi nitumia hivyo nasubiria tuonane. Ni makubaliano yetu kuwa hili tangazo niliondoe. Naomba Mods m Funge hii topic.
 
Nakutakia kila la kheri, ila kuwa makini kaka, wanasemaga ila sina uhakika kwamba hata huku JF kuna MAJINI
 
la saba mbona mbali huyo hata uwezo wa kujitambua hana,hivyo chekechea hajafika
 
Natafuta Mke wa kuoa. Mimi sichagui umri wala umbo wala sura. Natafuta mke wa kuoa. Ukitaka kujua Wasifu wangu ni PM ntakutumia hadi picha. Nipo serious sana kwa hili. Naimani mke wangu wa kufa na kuzikana, yaani wa maisha yupo humu. Sasa basi mke mtarajiwa njoo ukutanishwe na mimi kama alivyopanga Mungu tuwe pamoja.

Kwa hii promo hupat mtu
 
Back
Top Bottom