Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
haleluyaaaaaaaaa!!!!!!sinywi pombe wala sivuti sigara, ulevi wangu ni kusifu na kuabudu nyumbani mwa bwana yesu.
Watu wengine ni watu wa ajabu sana wewe si ndio ulikuwa unasapoti Jukwaa la MMU liondolewe kule kwenye Jukwaa la Malalamiko sasa nashangaa unaposti tena hapa kama sio umasaburi ni niniNawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa pombe,kuvuta sigara au starehe nyingine inayo-fanana na hizi,starehe yao ni kufanya mapezi na wanawake.Sijui utafiti huo ulifanyika wapi lakini ndo hivyo huku mitaan watu wanavyoamini.Sasa ngependa kujua je na wanawake nao wasiokunywa pombe,kuvuta sigari au mambo yanayo fanana na hayo nao starehe yao ni kufanya mapezi na wanaume??.Najua humu JF kuna wenyeufaham mpana watanielewesha vizuri...NAWASILISHA
..mkuu mimi naunga mkono hoja 100%,ni kweli taifa liko ktk wakati mgumu sana yaani nikama vile tuko vitani ingawa wengi walio-tangulia kuchangia hapo mwanzo hawajaioni hatari iliyombele yetu kama taifa.
Uhusiano na urafiki unaohitajika kwa hivi sasa ni wakuunganisha nguvu zetu sote kwa pamoja tumkabili adui aleye-mbele yetu,alfu tukisha shinda tujipongeze kwa tusheherekea na wapenzi wetu,hapo ndo ata mapenzi yatakuwa matam.Lakini kwa wakati huu ambao kila siku ukiamka anasema afadhali ya jana!.sijui ata hayo mapenzi yanafanyikaje!?...,ebu jaribu fikiria,risasi zinarindima mabom yanalipuka watu wanapoteza maisha majerui wakimbizwa hospital(INDIA) wewe umo tu unafikiria mapenzi!?,ata kama kweli wewe ni bigwa wa mapenzi unaweza kufanya hayo mapenzi ktk mazingila kama hayo!!??...Ebu tuyawekeni hayo mambo pembeni kidogo tuangalie kesho ya watoto wetu itakuaje
...kumbuka "PENZI NI KITOVU CHA UZEMBE!"...
ameen bujibuji.Sinywi pombe wala sivuti sigara, ulevi wangu ni kusifu na kuabudu nyumbani mwa BWANA YESU.
Mimi c mlevi wa chcht ktk mtoa post alivyoviainisha bt swali lake lime'create another quiz kwangu! HV INAPOSEMWA MR/MISS "A" NI MLEVI WA WANAWAKE/WANAUME inaleta maana ipi? Nilivyo mie nina mwanamke mmo1 tu! Na kw vl ctumii vilevi tajwa huyu mwanamke ndy kilevi chng mchana namsukumia bao mbili & uck mbili-3 maximum bao 5 per day, tofauti na hapo lbd awe "msimbazi" ndy mi napumzika KULEWA, swali hapa namie niitweje? Mlevi wa mwanamke? Italeta maana? Mtoa post anasema ili uitwe mlevi c.v ni WANAWAKE (zaidi ya mmo1) mimi nalewa kw MWANAMKE mmo1.
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa pombe,kuvuta sigara au starehe nyingine inayo-fanana na hizi,starehe yao ni kufanya mapezi na wanawake.Sijui utafiti huo ulifanyika wapi lakini ndo hivyo huku mitaan watu wanavyoamini.Sasa ngependa kujua je na wanawake nao wasiokunywa pombe,kuvuta sigari au mambo yanayo fanana na hayo nao starehe yao ni kufanya mapezi na wanaume??.Najua humu JF kuna wenyeufaham mpana watanielewesha vizuri...NAWASILISHA
Watu wengine ni watu wa ajabu sana wewe si ndio ulikuwa unasapoti Jukwaa la MMU liondolewe kule kwenye Jukwaa la Malalamiko sasa nashangaa unaposti tena hapa kama sio umasaburi ni nini
Tena posti yako hii hapa chini
Sinywi pombe wala sivuti sigara, ulevi wangu ni kusifu na kuabudu nyumbani mwa BWANA YESU.