Mwanaume asiyekunywa pombe,kuvuta sigara eti ulevi wake ni wanawake?

Utafiti nilioufanya mimi naona ulinipa majibu tofauti na ya mtoa maada. Nilichogundua ni kwamba kwa wanaume wanywa pombe, kichwa cha juu kikilewa cha chini ndiyo kinachaji zaidi
 
Nakunywa pombe na kuvuta sigara kiburudisho changu baada ya hivyo vyoote ni mabinti
 

Kweli kabisa na jamaa zangu 5 wakianza misele ya kuvizia wanawake ni noma anasubili hata saa 7 kama ni mhudumu wa hotel au bar afunge aondoke nae
 

The problem of common sense, it is not common.
 
jf is never boring lol...

boss usishangae kuna siku nilikuwa kwenye kundi la wanywaji hadi mida ya saa saba, jamaa wakawa wanashangaa iweye nawatia hasara kwa kuzungusha red bull na bavaria kila round ikija. Mwishowe wakaniambia kuwa lazima ntakuwa 'napiga sana mashine' maana ni starehe gani tena zaidi ya hiyo kama sinywi, sivuti ...... na hii kitu imenikuta mara nyingi sana.
 
Sinywi pombe wala sivuti sigara, ulevi wangu ni kusifu na kuabudu nyumbani mwa BWANA YESU.

Mwe mwe mwe mweeeeeeeee bujibuji, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! hahahahaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hapa mimi napita tu_maake sinywi,sivuti,sio mtu wa mademu,sipendi mpira,sipendi music,ni anti socio,sipendi kazi,...yaani sijui hata napenda nini?
 
Huu mjadala umenifanya nigundua kuwa wanaume wengi wa hapa JF si walevi wa pombe; ni walevi wa JF lol.
 
huenda kukawa na ukweli maana mimi situmii vyote hivyo lakin najiona ni wamoto kinoma
 
Neno starehe ni pana mno iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume hivyo mkuu umeliangalia neno starehe kwa membamba yake hapo!
 
wewe sasa ulevi wako ni tofauti kidogo, ulevi wako ni k..a,ya mkeo na sio wanawake lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…