Jamani nilisahau kuwauliza madoctor.. najua mliojibu vibaya wote si fani yenu
siri katika hili yanini? si makabila yote au mataifa yote wanaingia jando. Nimeuliza kistaarabu tu wajameni.
Nimeuliza kama kunamadhara yoyote hapo baadae au shida hiyo.
Asante La Biblicana kwa ushauri!! Nauliza ili nipate mwanga tu ili hata nikifikia wakati wa kuolewa nisiingie kwa hiyo shida.
Govi aka govinda. Ni kitu kizuri sana kwa mwanaume na ndio maana Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake. Kitendo cha kutairi kwa tafsiri yake ni sawa na mtu kuzidisha uume wake. Tunaenenda kinyume na uumbaji wa Mungu, Hivi ni vitendo tunamuuzi mwenyezi Mungu. Mangu kwa nini ulimuumba mwanadamu Govi, kwa sababu alitaka mwanamke apate starehe aliye ipenda aipate.
Unafikiri ile nyama ya mbele ikiwa ndani ya mwanamke ni utamu gani aupatao mwanamke. ile nyama ikiwa ndani inakuwa laini tofauti na mtu aliyetahiriwa. Mtu aliye tahiriwa hampi mwanamke hashki sana maumivu tu.
Mimi govi na huwa nawapagawisha sana warembo, kipimo cha kukumbatiwa kama ruba ni kipimo cha kujivunia ugovi wangu. I proud to be govi, mlio tahiriwa poleni sana
Shame on you!
Mungu alikuumba na nywele pia, kucha. Mbona unakata kucha?
Govi ni uchafu na katika dunia iliyostaarabika kujiita GOVI ni kwa vile hapa hatufahamiani lkn naamini huwezi kusimama mtaani kwenu na kujivunia govi kwani unajua umma utakushangaa.
Maambukizi ya Ukimwi kwa upande mwingine yanaambatana na magovi. Hilo govi hufuga bakteria na ndio maana ukiwakagua watoto wanaoelekea balehe utagundua mara nyingi wanaathiriwa na UTI sababu ya magovi. Kwa kifupi hata huyo mwanamke unayeishi naye ni mchafu pia kuvumilia kitu hicho ambacho kinanuka
kama ni destur yao ww unatakaje/
Ngoja nicheke kidogo,
sikujaliwa kuwakutaga,
hivi wapo eeeh?
Wapo wengi tuu.
Kati wanaume watatu duniani ni mmoja tuu aliyetahiriwa.
weweje
Govi aka govinda. Ni kitu kizuri sana kwa mwanaume na ndio maana Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake. Kitendo cha kutairi kwa tafsiri yake ni sawa na mtu kuzidisha uume wake. Tunaenenda kinyume na uumbaji wa Mungu, Hivi ni vitendo tunamuuzi mwenyezi Mungu. Mangu kwa nini ulimuumba mwanadamu Govi, kwa sababu alitaka mwanamke apate starehe aliye ipenda aipate.
Unafikiri ile nyama ya mbele ikiwa ndani ya mwanamke ni utamu gani aupatao mwanamke. ile nyama ikiwa ndani inakuwa laini
Huyo Mungu wako aliekukataza kutahiriwa ni yupi?. MUNGU alieumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo hajakataza kutahiriwa ndio maana YESU alitahiriwa siku ya nane tu baada ya kuzaliwa kwake
Ngoja nicheke kidogo,
sikujaliwa kuwakutaga,
hivi wapo eeeh?
Mm sielewi mtoa mada alipokosea au kaingia jukwaa silo la u-Doctornakuuliza usiingie shida gani fikiri mbali usifikiri karibu nakusubili unijibu
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
Apolonary inaonekana nawewe ni desturi yako, maana hili jibu lako linautata.kama ni destur yao ww unatakaje/
Walah unawashwa leo