Mwanaume Bila Pesa ni Sawa na Mboga bila mchumvi

Acha kukariri mbona Adam alivyoumbwa na Mungu alikuwa hana pesa na bado aliheshimika..Manabii wangapi wanaume walikuwa hawana pesa na waliheshimika...!!!


Sema tu pesa muhimu ila hiyo ya kuhalalisha na kuimarisha uanaume itoe

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Pesa ya kutosheleza kulinda uwanaume wake tu,Asije akavalishwa sketi bure
Uanamme katikati ya suruali. Kwani mpenzi wako hapati mshahara? Kilichomtoa kwao mguu wa Tatu .
Kwao kaacha kitanda, chips,godoro kafuata kitu kimoja tu.[emoji108] [emoji108] [emoji108] !!
 
Mwanaume Yesu tu bana.

hata bibi alikuwa binti.
 
Sio mbaya, maana hata mboga hisiyo na chumvi bado inawalaji mathalani watu wanaosumbuliwa na shinikizo la damu, watu wenye tatizo la sukari mwilini, na wengineo.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…