Mwanaume chimbuko la undugu,

Dav jm

Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
58
Reaction score
45
Mwanaume anaweza kufika sehemu ya ugenini na asipate tabu ya kuishi kwani akishajipatia binti na akatambulishwa kwao basi hao ndo watakua ndugu zake hata iwe wapi. Yaani utawaacha ndgu zako huko machame ukaenda mtwara kikazi ukapata mmakua ukazaa nae basi hapo utakua umepata ndgu.
Ndio maana WAPOGORO wanao msemo wao "ULONG NDONG" (kama sjakosea)
yani kifaa cha undugu production tunacho wanaume.
Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…