Mwanaume dhaifu anaedhania yeye ni gentleman

Mwanaume dhaifu anaedhania yeye ni gentleman

Bachelor OG

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
878
Reaction score
1,195
Kutana na mtu anaejiita PROSER NOW (ProsperNow) katika mtandao wa X
Ndugu yetu huyu amejipa ukungwi wa kiume lakini maandiko yake ukiyasoma kwa undani zaidi unagundua jinsi alivyo na upeo mdogo wa akili

Mwanzoni nilipoona maandiko yake nikavutiwa nayo lakini baada ya muda nikagundua huyu mtu akili yake haipo sawasawa

Kwanza namna anavyowachora wanawake kama sio binadamu

Pili haoni mapungufu ya wanaume lawama zake zote huzitupia kwa wanawake

Tatu KACHAGUA KUNDI DHAIFU LA KULISHAMBULIA AMBALO NI KUNDI LA SINGLE MOTHER

Kinachoshangaza zaidi ni namna ambavyo watu wanamsapoti kwenye comment zake kitu ambacho ni tofauti na uhalisia mtaani

Nahisi ni mtu ambae amelelewa na single mother au ameshawai kukataliwa na single mother

Maoni yangu ni hayo sijui kwenu nyie




IMG_20250122_142902.jpg
 
Mlete humu ajitetee kutokana na hizo tuhma hapo juu tumsikilize,tutaaminije siyo wewe ndiye huyo prospa umeji-tag kabisa hapo ili tufungue u-gain viewers?

Hata akiwananga singo mama wewe unapata hasara gani?wewe unadhani hao unaosema anawasema vibaya wakiwa kwenye magrup yao wanakusema vizuri?
 
Back
Top Bottom