Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 991
Je ni kweli kwamba Mwanaume huwa hachagui mwanamke wa kufanya nae Mapenzi na Mwanamke anafanya Mapenzi na Mwanaume anayempenda?
Lakini mambo ni tofauti linapokuja swala la ndoa. Mwanaume akitaka kuoa anaoa mwanamke anaye mtaka tofauti na Mwanamke yeye anaolewa na Mwanaume anayempata.
Umejifunza Nini hapo kwenye hiyo Scenario?