Mwanaume hakikisha mpenzi/girlfriend wako awe anajishughulisha na chochote cha maana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kama wewe ni mwanaume au kijana wa maisha ya kawaida au kipato cha chini hakikisha girlfriend wako awe anafanya kazi, ameajiriwa mahali , analima, anafuga au anafanya biashara, hamna hamna kabisa angalau awe anasoma amekaribia kumaliza chuo.

Kijana Epuka mwanamke asiyekuwa anafanya chochote kabisa karne hii, atakuwa mzigo.
 
Acha uvivu tafuta hela
 
Kwakweli sikuhizi wamestuka wanazitafuta haswa
Sema shida nikuigana kila mmoja anafanya shughuli ya mwenzie Hadi unashindwa umuunge mkono Nani!?
 
Tayari kibinti cha Gen Z kishamliza mtu huko...
 
Uko sahihi, masuala ya mwanaume kumlea mwanamke kwa kila kitu yashapitwa na wakati.

Angalau na mwanamke awe na kitu cha kuoffer mezani hata kama sio kiasi kama cha mwanaume

Cc Natafuta Ajira
Ni kweli, tupo katika zama za usawa wa kijinsia. Access zote alizonazo mwanaume, na mwanamke kapewa pia. Kimantiki hakuna tena sababu yoyote ya mwanaume kuwa sole provider kwenye mahusiano
 
Tayari kibinti cha Gen Z kishamliza mtu huko...
Tofauti na kuwaza hivi, unaonaje ikiwa ww mwanaume umefariki na kuacha familia ya mke na watoto, kama mkeo alikuwa hafanyi kazi yoyote huoni Kama atabaki kuteseka na hao watoto ila kama anafanya kazi atleast hatoumia sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…