Mwanaume Hana Moods

hatuwezi kufanya hivyo Dena jamani........
huyo we mwache usimuulize mpaka moods zake ziishe.....
hiyo huwa inatokea......

Haya wewe Preta nani kakupa huo uzoefu!? Ma mdogo Dena ni pm. Nitakufunulia ya uvunguni halafu utaona kama halijawa jinga kama joka la kibisa na kukunulia zawadi.
 
ni rahisi sana...nenda chumbani kwenu badili jinsi kitanda kilivyokaa...kiweke ki namna nyingine .....mpikie chakula chake kikuu akipendacho nenda sokoni nunua mastafeli na chukua karoti uimenye vizuri na kuikata kata vipande muwekee kwenye kisosi weka umma hapo mkaribishe ale, stafeli ale baadaya kula chakula......sitting room badilisha vitambaa na mapazia na ikibidi badilisha jinsi viti na vitu vilivyokaa hapo sebuleni....kisha tulia tu na usiseme kitu...kama hayupo sasa hivi akirudi na kukuta mabadiliko ya ndani ya nyumba basi utamuona anatabasamu na usiku ikifika mpe mamboz na muwahi kulala.....na baada ya hapo tatueni ugomvi au tofauti zilizopo kabla jua alijachomoza....

we dena mpaka leo hujui vionjo vya mwenzi wako na jinsi ya kudela navyo??
 


kuwa mwanamke ni kazi kweli kweli....chaaa!...Mbu, MJ1 mnamuambia Dena aangalie amekosea wapi? hata kama kuna kitu Dena anakuwa nunda kwa hubby solution ni kumchunia? yeye yupo perfect? haya maisha bwana, hakuna ki2 kinanikera kama kuona m2 mzima na akili zake timamu ananuna nuna kama vile mtoto mchanga anavyolia ucku kucha bila kujua nn kinamcbu, utamvua nguo ukisema joto wapi, utamnyonyesha ukisema njaa wapi, utahic anaumwa cjui nn au nn, ndio kama hivi sasa uanze kujichunguza wkt m2 anaweza kukueleza linalomcbu mkasuluhisha?...mie juzi kauchuna nikauchuna, alivyojirudi anakuja kuniambia ofcn alikereka. imagine? hapo ningejiumiza kichwa bure.....
 
Hahahaha.....lol...Nyamayao
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)

Shemeji kwani hukufundwa namna ya kum-handle mumeo anapokuwa hana mood??

Sasa hizi kitchen party huwa mnazipendeaga nini??
 
Hahahaha.....lol...Nyamayao

Finest....wacha tu, m2 mzima na akili zake unajaribu kumbembeleza akueleze tabu k2 gani, ndio kwanza anakwambia wewe niache!...khaaa nilimuacha ukweli mpaka alivyojickia kuongea aliongea, hapa Dena labda aseme kulikuwa na mikwaruzano nitamuelewa, kweli maisha yana shughuli haya, mikiki mikiki kibaooo.
 

asante dada maana somo lako hujamsaidia dena tu maana hata mimi nakumbwa na tatizo hilo nitafanyia kazi hayo maelezo yako. D ushaur huu fuata umetulia
 
Si unajua wengine hadi wepetiwe kidogo..haha
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Fuatilia pengine amepata ile password yako ya Facebook.
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)

Huyu amepagawishwa na nyumba ya kati
 
Pole Dena, kuna jambo linamsumbua akili kwa sasa, kazi/majukumu au vurugu za maisha...mpe muda hilo linalomfanya akose mood litapita halafu atarudi kawaida lakini isiwe wewe ndio chanzo...kama ni hivyo ongea nae taratibu atakuelewa.mfanyie timing wakati amechangamka kidogo lianzishe kama ni jambo ambalo linapaswa kueleweshana.
 
pole mamyy watu wa moods kama hao uwe unakaanao mbali mood yake ikibadilika anakua na mori ya kimasai!!
 
nyamayao bwana, hivi mfano MJ1 kila kukicha naambiwa nisipende kurudi usiku kutoka kwa mashoga zangu, tena mwanzoni ninabembelezwa kabisaa, ..hun usipende kurudi usiku bwana ni hatari ujue, narudia tena na tena yaako kama sina masikio. Baada ya miezi sita hali ni ile ile haibadiliki. Unategemea atasema kila siku mpaka lini? hatoamua kumyuti na kununa? maana na yeye ni binadamu pia pengine kununa ndo njia yake ya kuzuia hacra yake juu ya jambo linalomkera na hajalipatia suluhu.

Sisemi Dena amekosea but namkumbusha tu kuwa anapokuwa anapoint finger kwa mumewe akumbuke kuna vitatu vinamwelekea na yeye. It takes two to tango mydia. Na pia si lazima ikawa kafanya kwa makusudi kuna wengine tu wako hivyo ukifanya jambo hata kama ni la kawaida, yeye na kamati yake ya kichwa hukaa na kuamua, hili kosa, tunune bila hata kuangalia au kuhangaika kujadili na mtenda.

I have been there so ni katika kushare tu ....................
 
pole mamyy watu wa moods kama hao uwe unakaanao mbali mood yake ikibadilika anakua na mori ya kimasai!!
Unakaa mbali na mumeo! vije? na kitanda mwashare!!! Asikwambie mtu faisbuk ni ngumu sana aisee na ndio maana Dena anateseka. Ni ngumu hasa kama ni mtu usiyeweza kucharuka kama nyamayao lol (Da mkubwa hapa sijasema kwa ubaya nisamehe). Ninavyomchukulia nyamayao ni yule asotake ujinga wa kitoto, yaani eti msukuma wake kaamka tu kanuna, anakesha kanuna ni wazi nyamayao atamwuliza kisa na mkasa na asipotoa jibu kama namwona nyamayao anampandisha na kumshusha kisha anamwambia live, ukimaliza huo mgomo wako utanikuta grosare kwa Mama Kiruu na kitochi cha mbege.
 
akipumzika mazima je mm hata cwez ningefanya juu chini hadi angeongelesheka tu
Now you are talking AMINATA ..... kama nakuona, akishika remote unakwenda kusimama mbele ya screen, akikaa kwenye koti unamkalia mapajani ili mradi azungumze hahahaahah hata akifoka si kaongea bana?! ah kweli ndoa ndoano!
 

word.....labda Dena angedokeza kidogo chanzo cha mnuno 2pate kuelewa kidogo...
 
Hiyo tabia yako ya kulala umevaa skin tight,
sdiria, soks ndo inayomuuzi tu,
hana tatizo lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…