Finest....wacha tu, m2 mzima na akili zake unajaribu kumbembeleza akueleze tabu k2 gani, ndio kwanza anakwambia wewe niache!...khaaa nilimuacha ukweli mpaka alivyojickia kuongea aliongea, hapa Dena labda aseme kulikuwa na mikwaruzano nitamuelewa, kweli maisha yana shughuli haya, mikiki mikiki kibaooo.
Unakaa mbali na mumeo! vije? na kitanda mwashare!!! Asikwambie mtu faisbuk ni ngumu sana aisee na ndio maana Dena anateseka. Ni ngumu hasa kama ni mtu usiyeweza kucharuka kama nyamayao lol (Da mkubwa hapa sijasema kwa ubaya nisamehe). Ninavyomchukulia nyamayao ni yule asotake ujinga wa kitoto, yaani eti msukuma wake kaamka tu kanuna, anakesha kanuna ni wazi nyamayao atamwuliza kisa na mkasa na asipotoa jibu kama namwona nyamayao anampandisha na kumshusha kisha anamwambia live, ukimaliza huo mgomo wako utanikuta grosare kwa Mama Kiruu na kitochi cha mbege.
wahata wewe umeonekana dada,
kweli hili limekugusa.
Lol nisamehe mwaya yaani hapa leo Dena kanigusa, ni pressure hata si urongo unajikuta tu unakaa ndani mwako ka muuza gongo anayeogopa mgambo. Maana hujui umemfanya nini au kama si wewe ni nani phweee. Mie wangu alikuwa akikorofishwa na wateja wake huko kwenye kibanda chake cha chips, moto unaniwakia mimi na bahati mbaya hata ukimwuliza anaona aibu kusema si wewe matokeo yake anaanza kukutafutia makosa....hukawii kusikia kwa nini unanyoosha nguo asubuhi!!....eti hilo ndo linalomnunisha!hahahahha MJ1, khaaa..nimecheka sana!....ucnikumbushe ya juzi kati hapo, MJ1 inakera bwana asubuhi mmeondoka vzr jioni mchuno, ukiuliza hujibiwi, na mie nagoma, akionaga umezidi atatoa lililopo moyoni, kumfikiria m2 mzima ni pressure ati.
Huyu amepagawishwa na nyumba ya kati
Dena umeituma kwa posta au DHL maana naona haifiki hiyo PM yako na mie kwa umbeya hata situlii hadi ifike lol
Cheka kidogo bana ni vijimambo tu hivi vitaisha eh! Na ukiona hivyo anavyonuna nuna halafu haleti ukorofi jua deep down ya moyo wake bado anakupenda.
Finest....wacha tu, m2 mzima na akili zake unajaribu kumbembeleza akueleze tabu k2 gani, ndio kwanza anakwambia wewe niache!...khaaa nilimuacha ukweli mpaka alivyojickia kuongea aliongea, hapa Dena labda aseme kulikuwa na mikwaruzano nitamuelewa, kweli maisha yana shughuli haya, mikiki mikiki kibaooo.
ni rahisi sana...nenda chumbani kwenu badili jinsi kitanda kilivyokaa...kiweke ki namna nyingine .....mpikie chakula chake kikuu akipendacho nenda sokoni nunua mastafeli na chukua karoti uimenye vizuri na kuikata kata vipande muwekee kwenye kisosi weka umma hapo mkaribishe ale, stafeli ale baadaya kula chakula......sitting room badilisha vitambaa na mapazia na ikibidi badilisha jinsi viti na vitu vilivyokaa hapo sebuleni....kisha tulia tu na usiseme kitu...kama hayupo sasa hivi akirudi na kukuta mabadiliko ya ndani ya nyumba basi utamuona anatabasamu na usiku ikifika mpe mamboz na muwahi kulala.....na baada ya hapo tatueni ugomvi au tofauti zilizopo kabla jua alijachomoza....
we dena mpaka leo hujui vionjo vya mwenzi wako na jinsi ya kudela navyo??
hahahahha MJ1, khaaa..nimecheka sana!....ucnikumbushe ya juzi kati hapo, MJ1 inakera bwana asubuhi mmeondoka vzr jioni mchuno, ukiuliza hujibiwi, na mie nagoma, akionaga umezidi atatoa lililopo moyoni, kumfikiria m2 mzima ni pressure ati.
Lol nisamehe mwaya yaani hapa leo Dena kanigusa, ni pressure hata si urongo unajikuta tu unakaa ndani mwako ka muuza gongo anayeogopa mgambo. Maana hujui umemfanya nini au kama si wewe ni nani phweee. Mie wangu alikuwa akikorofishwa na wateja wake huko kwenye kibanda chake cha chips, moto unaniwakia mimi na bahati mbaya hata ukimwuliza anaona aibu kusema si wewe matokeo yake anaanza kukutafutia makosa....hukawii kusikia kwa nini unanyoosha nguo asubuhi!!....eti hilo ndo linalomnunisha!
Afu ukisema ugome na wewe maana si kagoma, kibao kinageuzwa kosa linakuwa kwa nini umenikasirikia khaa ...kwa kweli nilikuwa nachoka sana mwenzenu.

kuna wakati nakufukuriaga mpaka nasema may b haikuwa akili yako(upendo/mapenzi ulikufunika macho/mackio)...kuna wanaume wanapata wanawake jamani, MJ1 huyu wako atakukumbuka sana sana 2, khaaa, aisee! huko aliko nahic anatamani cku zirudi nyuma sema ndio hivyo tena, huko mbeleni natamani akutane na kina Nyamayao, hivi wewe ungeweza kurudiwa asubuhi mfululizo bila kuuliza na anakuta umemuandalia kila kifaacho kwa ofc na maisha yanasonga na roho hainish2ki? (nilifanya 2 kutoa taarifa kwao kwamba huyu binadamu cku hizi alali home so kikitokea cha kutokea tutashirikiana kulipokea) hakuna cha kuuliza upo wapi?/utarudi?/umetoka wapi?....akajiuliza huyu m2 hana habari na mie tena nn? wacha bwana wa2 2mepitia aisee, nashukurugi kwa hii roho niliyonayo.....
Lol afu usipoteege msanake nakumisigi bhange zako

che
Hahahahahaha nyamayao bwana, loh nadhani alinionea tu kwa kuwa nilikuwa mdogo sana kwake loh ........Haya mambo haya bana yaacheni kabisa, leo hii ananiona wa maana na simu anajipigisha, mie limoyo lishakufa ganzi na nimeshakutana na makina nyamayao, nyumba kubwa, Ashadii yamenikomazaje? yamenifundisha maujeuri yooote yaani sifai tena kuwa mke mwenzenu loh niachenigi tu ahahahahahah.
Umenichekesha hapo pa kutoa taarifa we mwanamke umepinda aisee! leo nimecheka sana humu ndani sina uhakika nimeongeza siku ngapi za kuishi duniani aisee. Dah