Mwanaume HIV positive 30 above

Kila la heri dear
 
Mkuu naomba nishauri,,,..

Loneliness should not the reason for you not to be happy.
You deserve to be happy just like all we are. The only thing you need to do is just to talk to your HIV Councelling Officers,,,Give them your interest and decision you made on the partner you wish to live with for the rest of your life.

Mkuu amini watakutafutia au kukuonesha watu wa wenye sifa kama yako na trust me utawapata pasina bughdha,,,humu wapo watakokejel hali yako.


Remember,,
"You are responsible for your happiness"
 
Kuna wengine si positive lakini wanaweza kuwa interested.

Umenikumbusha Iringa. Kuna staff wa taasisi moja ya mradi wa Ukimwi anaishi na maambukizi lakini anapita na Vijana bila huruma!
 
Kuna wengine si positive lakini wanaweza kuwa interested.

Umenikumbusha Iringa. Kuna staff wa taasisi moja ya mradi wa Ukimwi anaishi na maambukizi lakini anapita na Vijana bila huruma!
Toooooba
 
Yupo dada fulani ana status kama yako na anasumbuliwa na upweke anataka mume, yuko vyema nitamwambia akikubali nitakupa namba zake
 
Dah sorry wewe ni ke au me?
 
huwa nashindwa kukomenti moja kwa moja thread kama hizi, usikute anaeandika haya ni mzima tu na ni mwanaume sasa!!
 
Haya bhana, huyo aliyekuambukiza ulimwacha kwanini??
 
We unataka mwanaume wa nn na una HIV tayari? Si mtabadilishana hao viruses?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…