Mwanaume : Hujawahi lengeshwa au singiziwa mtoto. Hujakamilika

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
454
Reaction score
636
Vijiweni kwetu vya ghahawa, wadau wanadai kama Mwanaume hujawahi lengeshwa au tegeshewa mwanamke apate mimba, hata ya kusingiziwa, basi wewe hujakamilika, huna mvuto, huna uwezo kifedha, yawezekana hata mbegu zako hazina mvuto kwa wanawake!
Je ni kweli? JF wanasifika katika kuchambuwa mambo ya kijamii kama haya, ebu njooni tuseme kama ni kweli au pumba, au ni ufala na ulodi lofa..
 
usiombe ukutane na hili jibu "baby sijaziona siku zangu"

mara ya kwanza kusikia nilishindwa kula
hahaha [emoji23][emoji28] sasa kisa cha kushindwa kula nn au alikuwa mwanafunzi?!
 
Labda wanaume wa buguruni na huko keko toroli. Hivi ni kwanini upumbavu ka kasehemu fulani mnapenda kutaka kuufanya uonekane kama ndiyo general rule? Au ni kwa sababu wapumbavu ndiyo pekee wenye ujasiri wa kuzusha na kusambaza vito na kuviongea kwa ujasiri na kujiamini?
 
Unakokwenda sipo mkuu,,,,iweje usingiziwe mtoto? Ndy kukufanye uanaume wako uwe KAMILI?
 
Aisee.
Kazi kweli kweli...........
Kusingiziwa?
 
Mkuu si kwamba hujakamilika kuwa Mwanaume Malaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…