Mwanaume huyu ana shida gani?

nyauvi

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Wana-jamiiforums naombeni mtoe mawazo yenu.

Kuna mwanaume ameoa na ni baba ana watoto kadhaa,ila hafanyi tendo la ndoa na mkewe hata kwa mwezi inakuwa mara moja tu au mbili,ila kila siku anapokuwa amelala yupo macho lakini anasoma magazeti huwa anajishika uume na mapumbu yake mpaka anasinzia.

Mkewe amejaribu kumbadilisha hiyo tabia lakini hajaacha mpaka amekata tamaa na inamkera sana mkewe kiasi kwamba akimkuta anajishika hivyo mke anakasirika ananyamaza kimya anaondoka anaenda sebuleni ili asimuone.

Je hili ni tatizo gani jamani?

Tumshauri mwenzetu.
 
huyo mama anachangia, alipaswa akimuona jamaa anashika mzigo amtoe mkono aendelee Yeye....sasa mwanamke gani huyo hajui mahitaji ya mwenzie...?

Shikamoo blaza kabanga
 
Last edited by a moderator:
tehe tehe tehe tehe tehe akimuuliza anasemaje?
 
Pole sana zimuendee rafiki yako ila anatakiwa amuhudumie mwenzie akiwa katika hiyo hali
 
Wewe jinsia ipi?manake kama mwanaume mke wa rafiki anakuja lia lia kwako...what next?
 
But Its his! Let him be!! Badala ya kununa anamsaidiaje mumewe kuongeza hamu ya tendo la ndoa?
 
Labda rafiki yako gemu lake ni la tandale fc kwa hiyo mshua anaaamua kukanda ngano
 
huyo mama anachangia, alipaswa akimuona jamaa anashika mzigo amtoe mkono aendelee Yeye....sasa mwanamke gani huyo hajui mahitaji ya mwenzie...?

true that, kulikua hakuna haja ya mama kukasirika tena akimuona ameshka pumbu ndo anatakiwa azikimbilie nakuzifanyia shughuli, tena inavyoelekea jamaa kwa hili tukio linatokea chumbani ambapo ndio mazingira mazuri haswa.
 
Kuna ugonjwa unaitwa pumbuism...ambao humtokea mtu anapogonga mke mganga(aliyetegwa)au jini aliyejigeuza binaadam

Huyo mzee itakuwa kagonga kati ya vitu hivo viwili..!
 
Mmmh mambo mengine kazi kweli kweli.. Kwahiyo mtu akijishika mali zake ni ishu tena basi huyo mama akiona anakereka akamtoe mkono wake amuweke kwenye kidudu chake..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…