Mwanaume huyu ana shida gani?

Mkuu, walioana hawafanyi ngono bali wanafanya tendo la ndoa! Labda kama huyo jamaa kavuta mwanamke kienyeji tu bila kufunga ndoa kanisani ama msikitini!
 
inaonekana huyo mwanaume anakuwa na hisia kali mke wake hajajua kama jamaa anafanya mara moja kwa mwezi lazima pumbu zinamuuma kama akidindisha
 
Hahahaha najaribu kuvuta picha huyo mzee anavyochezea hizo pumbu huku wife akimcheki kwa kwa hasira
 

si useme tu kuwa ni mumeo huyo. Jiachie usaidiwe mwana
 
jamani labda anapata raha mwenzie amwache tu na yeye ashike yake

huyo mwana kajisemea mwenyewe. Ni mume wake ndie mwenye hivo vituko. Ila namshauri ajichunguze yeye inakuwaje jamaa hamaind papuchi yake? Anakula mara moja au mbili tu per month.. Loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…