Mwanaume jitahidi kila mwezi ufahamiane na angalau wanawake wawili

Mamaeee bonge moja la point umeongea
 
[emoji375]
 
Ushauri wako ndio utawatanguliza kuzimu, ushauri huu haufai
 
Umesahau kutueleza tutapambana vipi na text “baby luku imeisha”..”yaani nahisi homa nataka kwenda hospital afu bima sioni”.

Wanawake ni gharama
Hili kajifanya kama vile halitambui kabisa, kujisogeza kwa wanawake wengi ni kufungulia huu mlango wa 7 wa fahamu😂!

Kupigwa na vitu vizito ni kawaida sababu mwanamke huwa anatafta namna ya kunufaika na wewe always. Iwe kifedha au kijamii😅
 
Ushauri wako ndio utawatanguliza kuzimu, ushauri huu haufai
Tatizo mnawalingia Sana vijana yaani nyie ndio nyie Hadi mnajiita vipepeo [emoji38][emoji38][emoji38] Sasa hii ndio dawa yenu
 
Hili Kuna uzi naliletea nimeona nikiweka hapa huu uzi utakua mrefu sana
 
Sio kirahisi Kama unavyo fikiria
mbele ya pesa huwez pata upendo ila hivyo vikojoleo vyao utapiga sana mpaka shetani mwenyewe anakuonea huruma kwa moto unaonde kukuchoma huko(kwa wale wanaoamini uwepo wa jehanamu kama huamini hii sio sehemu ya kujadili hilo), Na wala huhitaji kuwa mo au Bilgate koz wapo kwa kila ngazi mradi ziwepo tu za kuchezea na uwe hauna malengo sana koz utakwama mapema
 
Mzee baba kuwa na hela tu haitoshi Kuna vitu vya ziada unatakiwa uwe navyo .......ukitumia hela kupata penzi hapo unakaribisha matapeli tu.

Na unaweza ukawa na hizo hela usile hata Malaya anae jiuza endapo wakajua wewe ni limbukeni wa hela utaishia tu kuitwa limbukeni na kuchukiwa cos zitakupelekea wakuone unawadharau na hakuna kiumbe anavumilia dharau.

You need something extra bob ili u vibe nao matajiri kibao wanateswa
 
Labda niwe sina kazi nyingine aisee.

Gambe namuachia nani atii, ukiwa mtu wa gambe wala husumbuki na maformula meengi kama mkemia vile. We nenda sehemu yenye totoz uenjoy.

Hizo njia hutumiwa na wasio na pesa kukwepa vizinga. Ila shoort cut ni TAFUTA PESA.
 

Na huo ndio ukwelii kua na wanawake wengi ni gharama hakuna cha maana.

Mwanamke ana expect siku zote mwanaume yuko na hela
 
Sio kusema kila anae tafuta namna rahisi ya kufanya jambo ni masikini Hana pesa hapana mkuu we endelea kuwa boya safari ya kulipa elfu moja wewe mjanja endelea kutozwa elfu kumi
 
Na huo ndio ukwelii kua na wanawake wengi ni gharama hakuna cha maana.

Mwanamke ana expect siku zote mwanaume yuko na hela
Stay tuned kesho nawaletea uzi wa namna ya kuepuka mizinga bila kuvunja mahusiano
 
Sio kusema kila anae tafuta namna rahisi ya kufanya jambo ni masikini Hana pesa hapana mkuu we endelea kuwa boya safari ya kulipa elfu moja wewe mjanja endelea kutozwa elfu kumi
Alokwambia kulipa ela kubwa ni uboya ni nani we kijana?? Kutoka dar hadi mbeya ni masaa karibu 15 kwa basi lakini kwa ndege ni lisaa tu ushafika. Ila wa basi atalipa pesa ndogo kuliko wa ndege japo wote lengo lao ni kufika dar/mbeya.

Kwahiyo alietumia ndege ni boya kisa katumia pesa kubwa??
 
Demu anae kupuna wewe mahela na kwenda kuishi maisha ambayo wewe huna ...ndio huyo huyo ninae mla kwa ofa ya out tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…