Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndio maana nikakwambia hizo mbinu zako hutumiwa kama huna pesa. Watu kama kina Fredy vunjabei eti aanze kuhangaika kuchukua namba 2 kila mwezi. Huo muda wa kuchart na kujua interests za hao mamanz unautoa wapi labda hiyo iwe ndo kazi yako maalum.Demu anae kupuna wewe mahela na kwenda kuishi maisha ambayo wewe huna ...ndio huyo huyo ninae mla kwa ofa ya out tu
Hii njia ni kwa jobless tu. Mtu mtaftaji haimfai hata kidogo.Naaidi kutumia hii ilan yako kama machimbo yote yatafungwaa...sina muda wa kuanza kuwasiliana na wanawake kisa ni kutaka mbususu...
Mi c jobless ila sion umuhim wa kuwa kweny mahusiano pasua kichwaHii njia ni kwa jobless tu. Mtu mtaftaji haimfai hata kidogo.
Hata mi sishauri ukae kwenye mahusiano pasua kichwa ila tu njia ya mleta mada ndo ina changamoto mzee.Mi c jobless ila sion umuhim wa kuwa kweny mahusiano pasua kichwa
Anatoa mbinu ambazo kwe wengi tunaona kama ni kujitesa tu bureHata mi sishauri ukae kwenye mahusiano pasua kichwa ila tu njia ya mleta mada ndo ina changamoto mzee.
Sawa ni chaguo lako kupoteza hela au kupoteza pesa pia au kupoteza vyote kwa pamoja wote ni upotezaji [emoji38][emoji38] kikubwa wote mmekula kishimoNdio maana nikakwambia hizo mbinu zako hutumiwa kama huna pesa. Watu kama kina Fredy vunjabei eti aanze kuhangaika kuchukua namba 2 kila mwezi. Huo muda wa kuchart na kujua interests za hao mamanz unautoa wapi labda hiyo iwe ndo kazi yako maalum.
Na haijalishi huyo mwanamke pesa ntakayompa atatumiaje, hilo mi halinihusu kikubwa nimepata nitakacho basi. Na hii ni ili upate tunda tu baasi ukimchoka unamtema, ukimtamani tena kama kawa ni ulimbo tu hata sio kujitesa kukalili formula.
Hapo kwenye mfuko Kuna sehemu unayumba Kuna jinsi ya kuwatuliza wasikuombe hela . Ila utawapa siku ya mtoko tuHii formula ndo naitumia!! Sijawah kutongoza dem hata siku moja! Nachukua no then namualika out after some time then nakula kimasihara!! Mimi kwa siku huwa nafahamiana na wanawake hata watano[emoji23][emoji23]!! Inategemea tu soko limekaaje!! Sema pia inabid mfukoni uwe vizuri!
Outings zinahitaji mfukon uwe vizuri ndo nnachomaanishaHapo kwenye mfuko Kuna sehemu unayumba Kuna jinsi ya kuwatuliza wasikuombe hela . Ila utawapa siku ya mtoko tu
Sawa[emoji28][emoji28]ntasimama kesho
Mbinu za kivita na kibahariaWengi wataona kama ni ujinga lakini hii kitu itakusaidia Sana kupata amani na furaha ya moyo wako.
Wanaume wengi mnaumizwa na wanawake kwa sababu ya ufinyu wa marafiki wa kike katika mzunguko wako.yaani utakuta mwana ume Hadi anafika chuo Ana namba za mademu wa form four na shule za msingi ndio hao anashinda anawalilia wampe mbususu. Hapo ndugu yangu hauta ufurahia ujana wako .
Hakikisha kila mwezi unapata japo namba za wanawake wawili tu hii itakufanya kuishi Kama mfalme na kuwa na opportunity nyingi yaani chance nyingi ukizinguliwa huku haulembi unakimbilia huku chap .
Hii itakufanya kuepukana na dharau kwa kuitwa majina Kama kupe ,msumbufu, nk
Na kubwa kuliko pindi utakapo kuwa na urafiki nao usiwatongoze kwa kuwapiga sound uwe mtu wa story tu za kawaida .
Usiwe mtu wa kuwachatisha Sana ila sifia Mara moja moja pale utakapo ona status zao na iwe comment ya kawaida Sana isio onesha uhitaji wa kidumbwasha chake yaani jiepushe na mizaha nao.
Punguza mazoea yasio na maana hapa atakua na attention na wewe na kaza hivo hivo bila kuonesha uhitaji cos ukilegeza utatengeneza mazingira ya kuanza kupigwa vibom na kuchukuliwa poa.
Kwenye kuwala Sasa [emoji39][emoji39] pia hapa usiwatongoze ...kutokana na kuwafuga kwa muda mrefu utakua umesha jua interest zao bila kuwauliza. Hapa Anza kuwa alika sehemu unazo ona Wana interest nazo na kuwatengenezea mazingira ya kuwala kimasihara, hii formula ni wanawake wachache Sana wanaweza chomoa ni Kama asilimia moja tu ndio watachomoa ila walio Baki wote lazima utawachezea vidubwasha vyao.
Na hizi invite hakikisha zinaenda kufanyikia mbali na maeneo ambayo hawaja yazoea yaani mapya kabisa ......alafu wanawake wa siku hizi ni waelewa na wanajua kujiongeza akikubali tu invitation anaweka na probability ya kubanjuliwa Sasa hiyo probability ya kubanjuliwa ni jukumu lako wewe Kama mwanaume kucheza nayo .... Na juu ya kumbanjua inategemeana na Aina ya mtoko mlio toka na mazingira gani utayaseti ujishindie tunda .
Faida za hii ni kwamba utakuwa huru na wewe ndio utakua master plan wa game nzima.
Itakuwezesha kujicontro na kukontro uchumi wako lini ufanye nini na kwa bajeti gani .
Pia wewe kama kidume you will feal proud muda mwingi na kuwa na furaha muda wote cos hauta kuwa na binadamu anae kuumiza kichwa.
Na ukila mbususu hakikisha unaitendea haki ili kesho ajilete mwenyewe kwa kuku omba na sio wewe kunza kumlazimisha na kulilia upewe Tena .
Last but not least hakikisha mkirudi unampa hela ya sabuni Kama kumlinda hivi ....aisee ukiwa hivi utakula Mbususu za watoto wa watu Hadi ukimbie na utajipeleka kwa mwamposa akuombee maana pepo la uzinzi limekushika kukuandama [emoji38][emoji38][emoji38]....
Hii formula utaitumia mwanzoni mwa mchezo tu baada ya hapo wenyewe ndio wataanza kujileta hapa utakua pia na nafasi kubwa ya kuchagua mke unae mtaka .
NB kinga muhimu magonjwa mengi.
Noma sana!Mzee baba kuwa na hela tu haitoshi Kuna vitu vya ziada unatakiwa uwe navyo .......ukitumia hela kupata penzi hapo unakaribisha matapeli tu.
Na unaweza ukawa na hizo hela usile hata Malaya anae jiuza endapo wakajua wewe ni limbukeni wa hela utaishia tu kuitwa limbukeni na kuchukiwa cos zitakupelekea wakuone unawadharau na hakuna kiumbe anavumilia dharau.
You need something extra bob ili u vibe nao matajiri kibao wanateswa
Mwanangu huwa nakukubali sana home boy, unyama mwingi sana home boy Savimbi!Wakulungwa tunakuaga na namba za mameneja wa bar
Wakubwa mshanielewa[emoji4]
Haki tena,nichote na mimi manzee...nita-enjoy venye uko msupu!Haya majukwaa ni huru na Kuna comments 2000 karibia yangu ndio umeona mbaya, punguza ujuaji basi mkuu, maana lolote ninalojua nitawajuza tu hata haya mabadiliko najua na zaidi, so usini limit Cha ku comments humu, Niko huru ka wengine na wewe njoo uchote watu hujanyimwa